Tuesday, 16 October 2012
Wabunge wetu na Posho mfukoni!!!!
Sheria mpya ya kuzuia malipo ya mafao, mwanasheria mkuu wa serikali alisema ilifikishwa bungeni na vufungu vilivyofutwa vilitajwa kwa namaba. inaonekana hakuna mbunge hata mmoja aliyefanya-homework kujua namba za vifungu husika vinavyofutwa vilikuwa vinahusu nini!!!!! ajabu sheria ilipoanza kutumika, wabunge wakawa wa kwanza kulaumu na kuikataa na kutishia kuleta hoja binafsi n.k. ili kupinga matumizi ya sheria mpya!!! swali langu .... mlikuwa wapi wakati imeletwa na mkaipitisha?? manebo na minong'ono ikaanza kuwa serikali imeingiza vifungu vipya "kinyemela", lakini mwanasheria wa serikali akatoa kauli ya serikali kwamba ilipitishwa na bunge
Subscribe to:
Posts (Atom)