tag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post2993719321642685887..comments2023-12-17T20:07:35.752+00:00Comments on OPEN HEART, OPEN MIND: Usanii Majengo ya Benki Kuu?MOSONGA RAPHAELhttp://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post-66112943392978822672008-12-19T15:08:00.000+00:002008-12-19T15:08:00.000+00:00Labda tunaweza kuwa na wasiwasi endapo taratibu za...Labda tunaweza kuwa na wasiwasi endapo taratibu za zabuni zilikiukwa (mfano: upendeleo wakati wa uchambuzi na uchaguzi/uteuaji wa wazabuni).
Kwa vile hatuna ushahidi wa hilo kutendeka, ni vizuri tuwape muda Mekon wafanye kazi.MOSONGA RAPHAELhttps://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1405840685412848847.post-34871250271469920742008-12-19T12:32:00.000+00:002008-12-19T12:32:00.000+00:00Nimesoma habari hii ktk website nyingi sana, na in...Nimesoma habari hii ktk website nyingi sana, na inaonekana habari hii ilitoka ktk vyombo vya habari tar 01/12/2008. Awali imeandikwa 30/11/2008 ktk Nipashe.

Mimi binafsi sina matatizo kwa kampuni za wazalendo kupewa tenda za ukaguzi Benki Kuu. Ni vizuri serikali iwatumie wataalamu wazaledo ili kuwapa uzoefu na kuwainua kimapato. Kuna raha gani kuwapa wazungu kazi ambayo inaweza kufanywa na ndugu zetu?

Pili, huyu Mr Mkony mimi namfahamu. Taaluma yake ni msanifu majengo (yeye ni 'architect' sio engineer). Mara ya mwisho kumuona miaka ya 90 mwishoni, alikuwa ni mhadhili (lecturer) chuo cha ardhi (Uclas).
Sina kumbukumbu kama aliwahi kufanya kazi National Housing, au kama ameshastaafu. Pia nimeona aliwahi kwenda kusomea udaktari (PhD) ktk taaluma yake ya usanifu majengo.

Siwezi kudai hapa kuwa namfahamu sana Mr Mkony, bali nachoweza kusema ni kuwa yeye ni msanifu majengo, PhD student/graduate(?) na kweli anamiliki hiyo kampuni ya Mekon. Yeye pia ni mfanyabiashara na mwenyekiti & managing director wa hoteli ya Belinda. Alinifundisha somo la Professional Practice III pale Uclas. Amefanya kazi nyingi, mojawapo ni usanifu na ukaguzi wa ujenzi wa jengo la AVI pale Kijitonyama ambalo ni makao ya TVT (TBC TV)

Aidha naweza kusema kuwa anao uwezo (na kampuni yake) kufanya hiyo kazi aliyopata Benki Kuu.MOSONGA RAPHAELhttps://www.blogger.com/profile/11344559339311484137noreply@blogger.com