Thursday 31 January 2008

Saruji kutoka majuu kuingia TZ

Wabongo sasa kupata saruji kutoka majuu

Kutokana na uhaba mkubwa wa saruji unaolikabili taifa, Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko, imesema muda si mrefu Wabongo wataanza kupata bidhaa hizo kutoka majuu.

Wizara hiyo imesema imechukua hatua hiyo, baada ya kuona licha ya kuruhusu wafanyabiashara waagize saruji kutoka nchi za Afrika Mashariki, EAC, bado kiasi kinachoingizwa hakikidhi haja, hali inayosababisha bidhaa hiyo kupanda bei kila kukicha.

Akizungumza ofisini kwake, Naibu Mkurugenzi wa Viwanda wizarani hapo Bi. Eline Sikazwe akazitaja nchi zinazotarajiwa kuingiza saruji nchini kuwa ni Afrika kusini, Uarabuni, Hispania, China na Msumbiji.

Amesema tayari mfanyabiashara aliyeomba kuagiza saruji toka Afrika Kusini ameshapewa kibali.

Pia akasema wanawakaribisha watu wenye uwezo kuagiza saruji hata nchi za Ulaya ili kupunguza tatizo la saruji nchini.
Akasema makampuni mengi yamejitokeza na kupeleka maombi wizarani hapo.

Bi. Sikazwe amesema ili kutoa motisha, Serikali imepunguza ushuru kutoka asillimia 45 hadi 25 kwa bidhaa hiyo kwa saruji itakayoingizwa Lengo la punguzo hili ni kutoa motisha ya kuagiza saruji kutoka nchi zote ulimwenguni badala ya kutegemea nchi za EAC ambapo kuna uhaba pia,akasema.

Na kuongeza Upungufu wa saruji nchini, umesababisha kuzorota kwa miradi ya maendeleo inayosimamiwa na serikali, taasisi binafsi na ile ya wawekezaji.

Vilevile amesema upungufu huo umerudisha nyuma juhudi za wananchi za kujenga nyumba bora kwa ajili ya makazi na biashara.

Bi. Sikazwe akasema kutokana na tatizo hilo, itashindikana
kukamilisha miradi ya Serikali kwa gharama zilizopangwa, kutokana na kuongezeka kwa gharama za saruji.

Tathmini iliyofanyika mapema mwezi uliopita ilionesha kuwa hali ya upatikanaji wa saruji nchini bado haijawa nzuri, jambo ambalo linathibitishwa na bei yake kwa walaji ambayo imeendelea kuwa kubwa, akasema.

Aliongeza kwamba licha ya kufungua milango kwa wafanyabiashara kuingiza saruji toka nchi za EAC ni tani 2,066 tu za bidhaa hiyo ambazo zimeingizwa.

Bi. Sikazwe akasema hilo linatokana na ukweli kwamba nchi kama Kenya na Uganda nazo zina matatizo ya saruji, hivyo kuzitegemea ni sawana kwenda kuomba Jamvi kwenye nyumba yenye kilio.

* SOURCE: Alasiri, 31 Jan 2008
By Simon Mhina
(www.ippmedia.com)

Maswali kwa W/Mkuu kila Alhamisi

Waziri Mkuu kulimwa maswali kila Alhamisi

Kanuni inayotoa ruksa kwa waheshimiwa wabunge kumlima maswali Waziri Mkuu moja kwa moja inaanza kutumika katika mkutano wa bunge unaoendelea hivi sasa mjini hapa.

Kanuni hiyo mpya ni miongoni mwa zile zilizoingizwa katika kitabu cha kanuni za Bunge toleo la mwaka 2007.

Spika wa Bunge hilo, Mheshimiwa Samwel Sitta amesema kanuni hiyo sasa inaanza kutumika ipasavyo katika mkutano huu wa Bunge unaoendelea mjini hapa.

Spika Sitta amewaambia waheshimiwa wabunge leo asubuhi kuwa ili kutekeleza kanuni hiyo, kila Alhamisi kwa kipindi chote cha Bunge, watapata ruksa ya kumuuliza maswali Waziri Mkuu moja kwa moja.

``Waheshimiwa wabunge kila Alhamisi ndiyo siku ambayo tutakuwa tukimuuliza Waziri Mkuu maswali moja kwa moja ili kutekeleza kanuni yetu ya toleo la mwaka jana inayotutaka tufanye hivyo,`` akasema Mheshimiwa Spika.

Spika amesema hayo wakati akihitimisha kipindi cha maswali na majibu leo asubuhi.

Amesema jioni ya leo Naibu wake, Mhe. Anne Makinda atatangaza utaratibu mzima utakaofuatwa na wabunge wakati wa kumuuliza maswali Waziri Mkuu.

* SOURCE: Alasiri, 31 Jan 2008
By Job Ndomba, Dodoma
(www.ippmedia.com)

Man Utd 2 Portsmouth 0

Last night Manchester United beat Portsmouth 2-0 to go back to the top of the Premiership on goal difference! Ronaldo scored twice to give United a deserved victory at Old Trafford.

Stadium: Old Trafford

Man U line-up:
Van der Sar
Brown-Ferdinand-Vidic-Evra
Park-Carrick-Scholes-Nani
Ronaldo-Rooney

Subs used:
Tevez for Ronaldo
Anderson for Scholes
Hargreaves for Rooney

Subs not used:
Kuszczak
O'shea

Results: Man U 2 Portsmouth 0 (Ronaldo 10', 12')

Points: 57

Position: 1st of 20

Performance meter: 7/10 (Good)

Next matches:
February 2008
02 Feb Barclays Premier League United Vs Tottenham 15:00 A
10 Feb Barclays Premier League United Vs Man City 13:30 H
16/17 Feb FA Cup (5th R) United Vs. Arsenal H
20 Feb UEFA Champions League United Vs Olympique Lyonnais 19:45 A
23 Feb Barclays Premier League United Vs Newcastle 17:15 A
March 2008
01 Mar Barclays Premier League United Vs Fulham 15:00 A
04 Mar UEFA Champions League United Vs Olympique Lyonnais 19:45 H
09 Mar Barclays Premier League United Vs Bolton 13:30 H -
15 Mar Barclays Premier League United Vs Derby County 15:00 A
23 Mar Barclays Premier League United Vs Liverpool 13:30 H
30 Mar Barclays Premier League United Vs Aston Villa 13:30 H

MAN UTD GOALS! (As on Wed 30/01/2008 22:00GMT)
Cristiano Ronaldo-Prem:(19) FA Cup:(3) Champ Lg:(5) =27
Carlos Tevez-Prem:(10) FA Cup:(1)Cham Lg:(2) =13
Wayne Rooney-Prem:(6) FA Cup:(1) Champ Lg:(3) =10
Louis Saha-Prem:(4) Champ Lg:(0) =4
Rio Ferdinand:Prem:(2) Champ Lg:(1) =3
Nani-Prem:(2) Champ Lg:(0) =2
Nemanja Vidic-Prem:(2) Champ Lg:(0) =2
Ryan Giggs-Pre:(2) Champ Lge:(0) =2
Gerard Pique- Prem:(0), Champ Lg:(2) =2

Mkoa wa Pwani

Sio kawaida majina ya watu au mahali fulani (miji) kutafsiriwa ktk lugha nyingine.
Kwa mfano kama mtu anaitwa B Maji, litabaki hivyo hivyo hata kama limetumika ktk chombo cha habari kinachotumia lugha ya kiingereza na sio B Water! Hali kadhalika jina la mji kama Mto wa Mbu litakuwa hivyo hivyo na sio River of Mosquites!!
Mifano mingine ni Cha Cha Mapinduzi (CCM), Chadema, TLP huwa havitafsiriwi ktk lugha nyingine vinabaki na majina yao ya asili.
Isipokuwa kwa mkoa wa Pwani (Tanzania) inanishangaza huwa unabadilika kulingana na lugha inayotumika. Kwa kiswahili unaandikwa au kuitwa Pwani wakati lugha ya kiingereza inapotumika utaona mkoa wa Pwani unaandikwa au kuitwa 'Coast' region!
Kwangu mimi naona sio sahihi. Au labda ni sahihi siwezi kujua!!

Tuesday 29 January 2008

'Help needy people stand on their own'

IPP Executive Chairman Reginald Mengi has said that people in need should be helped by being empowered so that they can manage their lives.

``The only solution to helping people in need is to empower them so that they can generate income to run their lives,`` Mengi said.

Mengi made the remarks on Sunday in Morogoro at the launch of St Hyasinta Centre and a gospel music album by the Hyasinta choir of Mafiga B sub-parish in the Kiwanja cha Ndege parish of the Roman Catholic Church.

The centre is intended to help various groups in the society including widows, orphans, people living with HIV/Aids and people with disabilities, to improve their lives.

A total of 27m/- in cash and pledges was collected during the launch. The money is intended to improve the centre.

Mengi said people with disabilities should be empowered so that they can make use of what they have to generate income.

He said if a person has any kind of disability, they should not lament for what has already passed but rather make use of what has remained.

``We should help people with disabilities by empowering them so that they make use of what has remained by engaging in various income-generating activities,`` he said.

He, however, said if a person doesn\'t belong to any of the groups of people in need they should recognise that it is because of God`s will.

``It is important that you look at yourself and ask why you don\'t have any disability,`` Mengi said.

He said people should understand that they have the responsibility to thank God, stressing that the only way to do that is by taking care of needy people.

``A person will not be judged by the riches they possess, but rather by how they helped others in need,`` Mengi said.

Mengi however urged the Hyasinta Centre leadership to use the money raised wisely and ensure that it reaches the intended people.

``You should make sure that the money obtained today is spent wisely and reaches the intended groups because, if you will not do so, it will be a shame to the leaders and the Church as well,`` Mengi said.

Mengi, who contributed 25m/-, requested that his contribution be channelled to two groups including the school for orphans and people living with HIV/Aids.

David Mganga, a member of the Hyasinta Centre committee, said apart from singing the choir had been helping the needy in the society.

He said the centre started as a choir but later decided to engage in helping people including widows, orphans, people living with HIV/Aids and people with disabilities.

He said the centre was facing a number of challenges, including lack of transport to reach people in need. He appealed for assistance from all well-wishers so that they could achieve their goals.

Morogoro Urban legislator Dr Omar Mzeru commended the good work done by Hyasinta Centre in helping people in need in the community.

He said their assistance was highly appreciated and called on more groups to do likewise.

* SOURCE: Guardian, 29 Jan 2008
By Lydia Shekighenda, Morogoro

Ndiye mama ntilie, machinga na tajiri mkubwa!

Napenda kuongelea jinsi wenzetu walivyofunguka macho kimaisha hapa duniani hasa ktk nchi zilizo ktk mabara ya Marekani na Ulaya! Hizi nchi kwa kweli zimeendelea na si kiteknolojia peke yake bali pia kiupeo wa mawazo.
Nyumbani kwetu tuko na umaskini wa kiuchumi kwa walio wengi. Lakini kifikra sisi ni matajiri, na kinyenzo pia hatuko nyuma. Tuna utajiri wa ardhi na maliasili nzuri ambayo haijahariwa kimazingira. Tuna idadi kubwa ya watu, watu pia ni muhimu ktk gurudumu la maendeleo! Ndio maana wenzetu wa nchi za magharibi hukaribisha wageni na pia kuhamasisha uzazi mwingi kwa wakazi wake ili kuhakikisha idadi ya watu inaongezeka au inabaki ile ile isje kupungua mbeleni. Watu ni muhimu, na sisi huko nyumbani hatuna umaskini wa vizazi na watu. Kwa maana hiyo tuko tayari kabisa kulianzisha gurudu la maendeleo. Kwa bahati mbaya tunakawia kuliazishia safari hilo gurudumu!!!

Monday 28 January 2008

Man Utd 3 Tottenham Hotspurs 1

Manchester United came from 0-1 to beat Spurs on Sunday 27/01/2008, and book a place in the 5th round of the FA Cup, where they will meet Arsenal next month at home.

Stadium: Old Trafford

Competition: FA Cup

Man Utd line-up:
Van der Sar
O'shea-Ferdinand-Brown-Evra
Ronaldo-Carrick-Hargreaves-Giggs
Tevez-Rooney

Subs used:
Anderson for Tevez
Scholes for Carrick
Simpson for Evra

Subs not used:
Names not available (to me)

Results:
Manchester United 3 Tottenham H/Spurs 1 (Tevez 1-1, Ronaldo 2-1, 3-1)

Performance meter: 6/10 (Average)

Next games:
27 Jan FA Cup United Vs Tottenham 14:00 H
30 Jan Barclays Premier League United Vs Portsmouth 20:00 H
February 2008
02 Feb Barclays Premier League United Vs Tottenham 15:00 A
10 Feb Barclays Premier League United Vs Man City 13:30 H
16/17 Feb FA Cup (5th R) United Vs. Arsenal H
20 Feb UEFA Champions League United Vs Olympique Lyonnais 19:45 A
23 Feb Barclays Premier League United Vs Newcastle 17:15 A

MAN UTD GOALS! (As on Sat 27/01/2008 16:00GMT)
Cristiano Ronaldo-Prem:(17) FA Cup:(3) Champ Lg:(5) =25
Carlos Tevez-Prem:(10) FA Cup:(1)Cham Lg:(2) =13
Wayne Rooney-Prem:(6) FA Cup:(1) Champ Lg:(3) =10
Louis Saha-Prem:(4) Champ Lg:(0) =4
Rio Ferdinand:Prem:(2) Champ Lg:(1) =3
Nani-Prem:(2) Champ Lg:(0) =2
Nemanja Vidic-Prem:(2) Champ Lg:(0) =2
Ryan Giggs-Pre:(2) Champ Lge:(0) =2
Gerard Pique- Prem:(0), Champ Lg:(2) =2

Man U fixture changes for March 2008

March 2008
09 Mar Barclays Premier League United Vs Bolton 13:30 H -
15 Mar Barclays Premier League United Vs Derby County 15:00 A
23 Mar Barclays Premier League United Vs Liverpool 13:30 H
30 Mar Barclays Premier League United Vs Aston Villa 13:30 H
April 2008
05 Apr Barclays Premier League United Vs Middlsbro 15:00 A
12 Apr Barclays Premier League United Vs Arsenal 15:00 H
19 Apr Barclays Premier League United Vs Blackburn 15:00 A
26 Apr Barclays Premier League United Vs Chelsea 15:00 A
May 2008
03 May Barclays Premier League United Vs West Ham 15:00 H
11 May Barclays Premier League United Vs Wigan 15:00 A

from: www.manutd.com

Saturday 26 January 2008

Maisha

Ktk maisha daima angalia mbele, zingatia nafasi na uwezo wako. Kile unachoweza kifanye na kisichowezekana kwako kiache usiwe mshika mbili. Ridhika na ulichobarikiwa nacho, acha kutamani kisicho riziki.
Kumbuka 'happiness is not having what you want but wanting what you have' (msemo wa kizungu)!
Pia wa kale walisema, 'moyo wangu sultani cha mtu sikitamani'.
Matatizo yasikuyumbishe ukapoteza dira bali yawe chachu ya kukupa moyo na matumaini. Bila shaka utashinda kwa mapenzi na nguvu za Muumba wetu!

Friday 25 January 2008

More goals, please!

As we await the Sunday afternoon match, Manchester United v. Spurs, I would like to make a call to several United player.
Man U needs wider source of goals apart from the usual ones. Therefore this call is especially to Michael Carrick, Darren Fletcher, Owen Hargreaves, John O'shea, Anderson, Wes Brown, Patrice Evra, Park Ji Sung et al. Please we need more from you, especially goals from 20-35 metres. Try to find positions where you can score from a distance even tap-ins are not bad if you manage to chance one! Something between 3 to 8 goals from each of you could be the glory in the championship and cups run for Man U!
And Louis Saha please come back, 20 goals from you this season won't be bad!
Good luck all of you on Sunday!

Another Conman! Be Careful!

Always be careful with these conmen, they are always after innocent people trying to hook them and leave them in trouble!
Look at this mail!
By Mosonga


MR.RALPH IBRU,
HEAD OF INVESTIGATION DEPARTMENT,
OCEANIC INTERNATIONAL BANK PLC,
341,OZUMBA MBADIWE AVENUE,
VICTORIA-ISLAND,
NIGERIA.
MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW-YEAR IN ADVANCE

SUBJECT: BENEFICIARY SUM OF US$16,850,450.68MILLION.
I AM SEEKING FOR YOUR COOPERATION TO PRESENT YOU TO MY BANK AS THE
NEXT OF KIN TO LATE MR RICHARD PETERSON,A FOREIGN CONTRACTOR WITH NIGERIAN
NATIONAL PETROLEUM COOPERATION (NNPC):SO,THAT THE SUM OF
US$16,850,450.68MILLION WILL BE PAY TO YOU AS THE BENEFICIAR.FOR YOUR INFORMATION,I
AM THE HEAD OF INVESTIGATION DEPARTMENT WITH OCEANIC BANK INTERNATIONAL
PLC.THE BOARD OF DIRECTORS OF OCEANIC BANK INTERNATIONAL PLC, MANDATED
ME TO LOOK FOR ANY KNOWN RELATION OF LATE MR RICHARD PETERSON,SINCE,
AFTER HIS DEATH 5/1/03, HOWEVER ALL MY EFFORTS TRACES ABORTIVE.THAT IS
THE MAIN REASON I AM WRITING YOU THIS TO ASK FOR YOUR COOPEARATION FOR
US TO CLAIM THIS MONEY, SINCE YOU ARE A FOREIGNER.I ONLY HAVE TO APPROVE
YOU,THIS FUND WILL BE PAY TO YOU AS THE BENEFICIARY.WE ARE TO SHARE
THIS MONEY BETWEEN OURSELVES (I AND YOU)IF YOU ARE REALY INTERESTED IN
THIS OFFER YOU SHOULD CONTACT ME IMMEDIATELY FOR DETAIL OF THIS
TRANSACTION AND PRECEDURE.
PLS DO FORWARD ME YOUR FULL NAME,ADDRESS,PHONE NUMBER,YOUR
COMPANY NAME OR OCCUPATION AS THESE INFOS ARE VITAL TO THE SUCCESS OF
THIS TRANSACTION,AND NOTE THAT THIS IS RISK FREE BUSINESS,THIS
TRANSACTION WILL COMMENCE IMMEDIATELY THERE IS INTEREST FROM YOU.
SINCERELY YOURS,
MR.RALPH IBRU

Man Utd plays a friendly

Manchester United played a friendly match in Saudi Arabia last monday against Al-Ahly for Al-Jabers testmonial. The results were Al-Ahly 3 United 2 with goals from Tevez and Ronaldo.
Manchester United will be playing Tottenham Hotspurs this coming Sunday at Old Trafford.

Thursday 24 January 2008

Ronaldo's a record breaker!

Manchester United's Cristiano Ronaldo is heading to break his own last season's goal tally where he was a joint top scoer with Wayne Rooney, according to my records. The season is almost halfway and it is a matter of how many will he be scoring on top of his last season's 23 and not whether he will do it!

Man Utd: Goals 2006/07*
ROONEY- 23
RONALDO- 23
SAHA- 13
SOLSKJAER- 11
SCHOLES -7
GIGGS -6
CARRICK -6
O'SHEA -5
J S PARK -5
VIDIC -4
K RICHARDSON -3
FLETCHER -3
LARSSON -3
EVRA -2
FERDNAND -1
SYLVESTRE -1
K LEE -1
HEINZE -1
BROWN -1 (scored in a friendly)
SMITH -1
C EAGLES -1

Goals came from a variety of players, except goalkeepers. It is good to get scorers from different sources, rather than depending on specific players!

*Matches involved are:
Premieship
FA Cup
League Cup
UEFA Champions League

Total goals scored 120

However the stats do not include a Man Utd v. Europe IX Friendly on 13/3/2007 where Man Utd won 4-3. Rooney's double, Ronaldo and Wes Brown won the match.

Monday 21 January 2008

Reading 0 Man Utd 2

Manchester United beat Reading on Saturday 19/01/2008, to remain on top of the table on goal difference following Arsenal's win at Fulham.

Stadium: Madejski, Reading

Competition: Premier League

Man Utd line-up:
Van der Sar
Brown-Ferdinand-Vidic-Evra
Ronaldo-Carrick-Hargreaves-Park
Tevez-Rooney

Subs used:
Giggs for Park
Nani for Hargreaves

Subs not used:
Names not available (to me)

Results:
Reading 0 Manchester United 2 (Rooney 1-0, Ronaldo 2-0)

Points: 54

Position: 1st (out of 20)

Performance meter: 5/10 (Average -functional)

Next 6 games:
27 Jan FA Cup United Vs Tottenham 14:00 H
30 Jan Barclays Premier League United Vs Portsmouth 20:00 H
February 2008
02 Feb Barclays Premier League United Vs Tottenham 15:00 A
10 Feb Barclays Premier League United Vs Man City 13:30 H
20 Feb UEFA Champions League United Vs Olympique Lyonnais 19:45 A
23 Feb Barclays Premier League United Vs Newcastle 17:15 A

MAN UTD GOALS! (As on Sat 19/01/2008 17:15GMT)
Cristiano Ronaldo-Prem:(17) FA Cup:(1) Champ Lg:(5) =23
Carlos Tevez-Prem:(10) Cham Lg:(2) =12
Wayne Rooney-Prem:(6) FA Cup:(1) Champ Lg:(3) =10
Louis Saha-Prem:(4) Champ Lg:(0) =4
Rio Ferdinand:Prem:(2) Champ Lg:(1) =3
Nani-Prem:(2) Champ Lg:(0) =2
Nemanja Vidic-Prem:(2) Champ Lg:(0) =2
Ryan Giggs-Pre:(2) Champ Lge:(0) =2
Gerard Pique- Prem:(0), Champ Lg:(2) =2

Yanga: Ya Kale Dhahabu! (1981-93)

Orodha ya wachezaji wa zamani wa timu ya soka ya Yanga, (watoto wa Jangwani) walioleta ushindi, makombe, sifa, burudani na pia kuleta mafanikio ya muda mrefu ktk timu (tangu nimeanza kuifahamu na kuishabikia Yanga 1980)!

Walinda mlango (Goal-Keepers)
1. Juma Pondamali
2. Joseph Fungo
3. Hamis Kinye
5. Steven Nemes

Mabeki wa kulia, na.2:
1. Juma Shaaban (Anko J)
2. Bakari Malima (Jembe Ulaya)
3. Ngandu Ramadhani

Mabeki wa kushoto, no.3:
1. Ahmed Amasha (mathematician)
2. Kenneth Mkapa
3. Fred Felix Minziro (Majeshi)
4.

Mabeki wa kati kulia, na.4:
1. Athumani Juma Chama
2. Alan Shomari
3.

Beki 5 (mkoba)
1. Constantine Kimanda
2. Salum Kabunda (ninja)

Viungo wa kati, na.6 & na.8:
1. Juma Mkambi (Jenerali)
2. Isaack Mwakatika
3. Charles Boniface Mkwasa
4. Yusufu Macho
5. Salvatory Edward
6. Sekilojo Chambua

Viungo/washambuliaji wa kulia, na.7:
1. Charles Kilinda
2. Charles Alberto

Viungo/washambuliaji wa kushoto, na.11:
1. Sanifu Lazaro
2. Thomas Kipese
3. Edibily Jonas Lunyamila

Washambuliaji:
1.Rashid Hanzuruni
2. Omari Hussein (Kevin Keegan)
3. Makumbi Juma (Homa ya Jiji)
4. Abeid Mziba
5. Edgar Fongo
6. Said Mrisho (Zico wa Kilosa)
7. Said Mwamba (Kizota) jezi no.14
8. Said Suedi (Scud)
9. Mohamed Husein (Mmachinga)
10. Zamoyoni Mogella (dhl) 1992/93??
11. Hamis Gaga (Gaggarinho/Chiluba) 1992?

Yanga ya sasa ikumbuke historia ya klabu na kuienzi. Vijana waliopo waturudishie hiyo heshima ya enzi hizo.
Yapo mazuri yaliyotokea ktk klabu ya Yanga kabla ya 1980, na inafaa nayo yakubalike na kuenziwa - na kwa kweli sikuyabagua bali imenibidi nianzie pale ambapo mimi mwenyewe nilikuwa nafuatilia maendeleo ya Yanga.

Thursday 17 January 2008

FA Cup: Here comes Spurs!!!

Manchester United will play Tottenham Hotspurs on 27 January
2008, FA Cup 4th round at Old Trafford.
UNITED V Tottenham H KO 14:00 GMT (to be shown live by BBC One)

Next Matches - January & February 2008:
January 2008
19 Jan Barclays Premier League United Vs Reading 15:00 A
27 Jan FA Cup (R4) Utd V Tottenham H/Spurs 14:00GMT H
30 Jan Barclays Premier League United Vs Portsmouth 20:00 H
February 2008
02 Feb Barclays Premier League United Vs Tottenham 15:00 A
10 Feb Barclays Premier League United Vs Man City 13:30 H
20 Feb UEFA Champions League United Vs Olympique Lyonnais 19:45 A
23 Feb Barclays Premier League United Vs Newcastle 17:15 A

Monday 14 January 2008

Man Utd 6 Newcastle United 0

Sat 12/01/2008
Manchester United thrushed Newcastle United 6-0 on Saturday to go top of the league on goal difference!

Stadium: Old Trafford

Team (Man U):
Van der Sar
O'shea-Ferdinand-Vidic-Evra
Ronaldo-Carrick-Anderson-Giggs
Tevez
-Rooney

Subs used:
Nani for Giggs
Fletcher for Anderson
Simpson for Evra

Subs not used:
Kuszczak (GK)
Park

results: 6-0; Ronaldo (3), Tevez (2), Ferdinand (1)

Perfomance Meter: 7/10 (Good)

Next Match: Reading (Away) 19/01/2008

MAN UTD GOALS! (As on 12/01/2008)
Cristiano Ronaldo-Prem:(16) FA Cup:(1) Champ Lg:(5) =22
Carlos Tevez-Prem:(10) Cham Lg:(2) =12
Wayne Rooney-Prem:(5) FA Cup:(1) Champ Lg:(3) =9
Louis Saha-Prem:(4) Champ Lg:(0) =4
Rio Ferdinand:Prem:(2) Champ Lg:(1) =3
Nani-Prem:(2) Champ Lg:(0) =2
Nemanja Vidic-Prem:(2) Champ Lg:(0) =2
Ryan Giggs-Pre:(2) Champ Lge:(0) =2
Gerard Pique- Prem:(0), Champ Lg:(2) =2

Saturday 12 January 2008

Facing managerless team, again!!

I remember last time to play a team without a manager was during a Chelsea game where Manchester United won 2-0.
But there are several instances where United faced a team just changed a manager or without one!
We played West ham last season in such a situation, and today we face Newcastle United whose manager (Sam Alladyce) was sacked a couple of days ago!
I hope Man United are capable of dealing with a psychological phenomenon normall accompanied with these changes of management - the new or 'without' manager syndrome! Normally players affected respond to the situation in a positive way therefore Man Utd should be aware of such effects.
I expect a hard fought win for Man U!
Keep it Up You Red Devils!!

Friday 11 January 2008

Pongezi za ubalozi

MAONI YA BALOZI WA UINGEREZA, PHILIP PARHAM, JUU YA MAAMUZI YALIYOCHUKULIWA NA SERIKALI KUHUSU REPOTI YA UCHUNGUZI BENKI KUU

“Mara nyingi nimekuwa nikisema jinsi ilivyo muhimu kwa serikali kuonekana ikishughulikia kikamilifu tuhuma nzito za rushwa.




Hivyo nimefurahi kusikia kwamba ukaguzi maalum uliofanywa kwenye akaunti ya "External Payment Arrears" (EPA) Benki Kuu sasa umekamilika, na kwamba Rais Jakaya Kikwete amefanyia kazi kwa haraka kabisa yaliyogunduliwa. Tunampongeza Rais Kikwete kwa maamuzi aliyochukua.
Ni sahihi kabisa kwamba hatua za kinidhamu zinapaswa kuchukuliwa dhidi ya wale waliohusika na ulipaji wa fedha hizo kwa njia zisizo halali, na vilevile dhidi ya wale walioshindwa kuchukua hatua pale ambapo ishara za "mambo kutokwenda sawa" zilipojitokeza kwa mara ya kwanza.

Pia itakuwa muhimu kama uchunguzi ulioanzishwa na Rais utafanyika kwa haraka na kikamilifu. Ni vigumu kuamini kama ufisadi wa uzito na kiwango hiki unaweza kuhusisha Benki Kuu yoyote.
Wale wote waliohusika, na waliojinufaisha kwa fedha zilizoibiwa, lazima wawajibishwe. Kufanya hivyo ni muhimu sio tu kujenga imani kwa Washirika wa Maendeleo, bali pia imani kwa Watanzania na wawekezaji wa nje, ambao ustawi wa Watanzania unategemea.

Tunasubiri kusikia zaidi juu ya ukaguzi uliofanyika, na pia hatua ambazo serikali itachukua katika kuyafanyia kazi mapendekezo yaliyotolewa.
Vilevile tunasubiri matokeo ya uchunguzi ambao Rais ameuanzisha, na tunatumaini tuhuma nyingine nzito za rushwa nazo pia zitashughulikiwa kikamilifu.”



John Bradshaw
Press Officer
British High Commission
Mobile: +255 (0)754 764276
Email: john.bradshaw@fco.gov.uk

BoT Governor Changes

JK fires Balali
What started as speculation mid last year has been proved to be true beyond any reasonable doubt: The Bank of Tanzania (BoT) management has occasioned multi-billion loses to the nation mostly through dubious payments and dealing with phony companies in 2005.

The discovery has led to the sacking of BoT governor Daudi Ballali by President Jakaya Kikwete yesterday.

The shocking revelations are contained in a State House press statement released yesterday, whose contents are based on audits over the External Payment Arrears Account (EPA) done by Ernst and Young last year.

EPA had since June 1985 being under the custody of the Directorate of Economic Policy of the BoT, with the discretion of providing any amount of foreign exchange to an importer of goods and services into the country.

Such importers would then be required to reimburse BoT an equivalent in local currency. The arrangement was meant to exercise judicious management over scarce foreign exchange reserves.

The release says this arrangement had been operating quite smoothly only until 2005, when Deloitte and Touche auditors discovered sharp discrepancies, including forged payments in the operations of EPA, much so under the notarized deeds of assignments.

In the ensuing stand off between the BoT and Deloitte and Touche and, the latter`s services were abruptly and mysteriously terminated.

In the interim, the media, donor community, civil society and opposition political parties had taken up the matter head on, with calls for immediate probe and resignation of the former BoT governor Daudi Ballali.

Eventually, the government gave in to the multi-pronged pressure, ordering Controller and Auditor General (CAG) to hire the services of competent company to re-do EPA’s auditing.

The auditing process was conducted between September-December last year and handed their reports over to CAG, who in turn tabled the same to President Kikwete on Monday.

The report shows that in 2005, payments to the tune of 133,015,186,220.74/- were made to twenty two domestic companies under the EPA scheme.

Among these companies, 90,359,078,804/- were paid to 13 companies based on fake and forged documentation.
``Those companies deserved no payment at all”, it screams.

In addition, another nine companies were paid an equivalent of 42,656,107,417/- without any supporting document to authenticate such payments.

Notably, two companies, Rashtas (T) Ltd and G&T International Ltd were nowhere to be found in the books of the Business Registration and Licensing Agency (BRELA).

Consequently, President Kikwete has sacked Dr. Daudi Balali and his place taken over by the hitherto Deputy Governor Professor Benno Ndulu.

At the same time, the BoT board has been directed to reconvene immediately and take necessary disciplinary measures against all BoT officials who were accomplices to the scam, much as EPA operations have been stalled.

Furthermore, the President has directed the Attorney General, Inspector General of Police and the Director of the Prevention and Combating of Corruption Bureau to investigate all companies and individuals who were involved in the shoddy deals and take appropriate action in line with the laws of the land.

``They have to effectively apply the power and authority they have been entrusted in line with the law.

They must complete the task within three months, and the Attorney General should head this task. All the money that was paid illegally must be paid back,`` the statement quoted the President.

The President has also directed the Controller and Auditor General to cooperate with the law enforcing organs executing the task.

President Kikwete has also appointed the PS in the ministry of Infrastructure, Enock Bukuku, to be the new deputy governor of the BoT (Economy and Finance) Likewise, he has appointed Omari Chambo as the Permanent Secretary in the same ministry.



About the new BoT chief

Benno Ndulu served as Sector Lead Specialist with the Macroeconomic Unit for Eastern Africa of the World Bank.

He is best known for his involvement in setting up and developing one of the most effective researches and training networks in Africa, the African Economic Research Consortium (AERC).

He served first as its Research Director and later as its Executive Director. He received an honorary doctorate from the Institute of Social Studies (ISS) in the Hague in recognition of his contributions to Capacity Building and Research on Africa.

Following his PhD degree in economics from Northwestern University in the U.S., he taught economics and published widely on economic growth, adjustment, governance, and trade.

He has been involved in policy advisory roles worldwide and has served in a wide range of Boards locally and internationally.

* SOURCE: Guardian, 10 Jan 2008
By Lusekelo Philemon

Beware of these conmen!!

Letters like these (below) are from bad people who want to get access into others' identities (personal information) so that they can steal money!
My advise is that if you get one of these letters or similar to it, do not attempt to reply; otherwise you might be a step closer to loosing your money!
Now just read this letter ...!
-By Mosonga

APPEAL FOR URGENT ASSISTANCE.
Dearest one,

Permit me to inform you of my desire of going into relationship with you. I know it might be a surprise to recieve a letter like this from unknown person I contacted you after going through your profile,I prayed over it and selected your name among other names due to its esteeming nature and the recommendations given to me as a reputable and trust worthy person that I can do transaction with and by the recommendation , I must not hesitate to confide in you for this simple and sincere transaction .
I am Vera Frank the only daughter of late Mr. and Mrs.Ralph Frank . My father was a very wealthy cocoa merchant in Abidjan , the economic capital of Ivory coast, my father was poisoned to death by his business associates on one of their outings on a business trip . My mother died when I was a baby and since then my father took me so special. Before the death of my father on october 2006 in a private hospital here in Abidjan he secretly called me on his bed side and told me that he has the sum of Ten million,five hundred thousand United State Dollars. USD ($10,500,000.00) left in fixed / suspense account in one of the prime bank here in Abidjan ,that he used my name as his only daugther for the next of Kin in depositing of the fund. He also explained to me that it was because of this wealth that he was poisoned by his business associates That I should seek for a foreign partner in a country of my choice where i will transfer this money and use it for investment purpose such as real estate management or hotel management .
Dear, I am honourably seeking your assistance in the following ways:
(1) To provide a bank account into which this money would be transferred to .
(2) To serve as a guardian of this fund since I am only 19years.
(3) To make arrangement for me to come over to your country to further my education and to secure a resident permit in your country.Moreover, Dear, i am willing to offer you 15% of the total sum as compensation for your effort/ input after the successful transfer of this fund into your nominated account overseas. Furthermore, you indicate your options towards assisting me as I believe that this transaction would be concluded within four
(4) days you signify interest to assist me. Anticipating to hear from you soon.
The amount is 10.500.000.00 u,s dollars.

Best regard

Vera frank
Ivory Coast, West Africa.

Tuesday 8 January 2008

Aston Villa 0 Man Utd 2

Saturday 05/01/2008
Competition: FA Cup (Round 4)
Manchester United Team:
Van der Sar
Brown-Ferdinand-Vidic-Evra
Ronaldo-Carrick-Anderson-Park
Giggs-Saha

Subs used:
Hargreaves in for Saha
Rooney for Park
O'shea for Giggs

Subs not used:
(names not available)

Results: A. Villa 0 Man Utd 2; Ronaldo 81', Rooney 88'

Stadium: Villa Park

Performance meter: 6/10 (Average to Good)

Next 6 games:
12 Jan Barclays Premier League United Vs Newcastle 17:15 H (TV: Setanta Sports)
19 Jan Barclays Premier League United Vs Reading 15:00 A
27 Jan FA Cup (R4) Utd V Reading/Spurs 14:00 H (TV: BBC Sports)
30 Jan Barclays Premier League United Vs Portsmouth 20:00 H
February 2008
02 Feb Barclays Premier League United Vs Tottenham 15:00 A
10 Feb Barclays Premier League United Vs Man City 13:30 H

MAN UTD GOALS! (As on 05/01/2008)
Cristiano Ronaldo-Prem:(13) FA Cup:(1) Champ Lg:(5) =19
Carlos Tevez-Prem:(8) Cham Lg:(2) =10
Wayne Rooney-Prem:(5) FA Cup:(1) Champ Lg:(3) =9
Louis Saha-Prem:(4) Champ Lg:(0) =4
Rio Ferdinand:Prem:(1) Champ Lg:(1) =2
Nani-Prem:(2) Champ Lg:(0) =2
Nemanja Vidic-Prem:(2) Champ Lg:(0) =2
Ryan Giggs-Pre:(2) Champ Lge:(0) =2
Gerard Pique- Prem:(0), Champ Lg:(2) =2

Thursday 3 January 2008

Man Utd 1 Birmingham City 0

Team:
Kuscczak
O'shea Ferdinand Vidic Evra
Park Anderson Carrick Nani
Tevez Ronaldo

Subs used:
Saha for Tevez
Hargreaves for Park
Brown for Evra

Subs not used:
Heaton (GK)
Pique (Defender)

Results: Man Utd 1 Birmingham City 0 Carlos Tevez

Perfomance meter: 5/10 (Average)

Next 6 Matches:
January 2008
05 Jan FA Cup R3 Man Utd v. Aston Villa 17:15 A
12 Jan Barclays Premier League United Vs Newcastle 17:15 H
19 Jan Barclays Premier League United Vs Reading 15:00 A
30 Jan Barclays Premier League United Vs Portsmouth 20:00 H
February 2008
02 Feb Barclays Premier League United Vs Tottenham 15:00 A
10 Feb Barclays Premier League United Vs Man City 13:30 H


MAN UTD GOALS!
(As on 01/01/2008)
Cristiano Ronaldo-Prem:(13) Champ Lg:(5) =18
Carlos Tevez-Prem:(8) Cham Lg:(2) =10
Wayne Rooney-Prem:(5) Champ Lg:(3) =8
Louis Saha-Prem:(4) Champ Lg:(0) =4
Rio Ferdinand:Prem:(1) Champ Lg:(1) =2
Nani-Prem:(2) Champ Lg:(0) =2
Nemanja Vidic-Prem:(2) Champ Lg:(0) =2
Ryan Giggs-Pre:(2) Champ Lge:(0) =2
Gerard Pique- Prem:(0), Champ Lg:(2) =2

MAN UTD: FIXTURES & RESULTS 2007/08

August 2007
12 August 2007 Reading H k.o.1600BST Draw 0 - 0
15 August 2007 Portsmouth A KO19:45BST Draw 1-1, Scholes
19 August 2007 Man City A KO13:30BST Lost 0-1
26 August 2007 Tottenham H KO16:00BST Win 1-0, Nani

September 2007
01 September 2007 Sunderland H k.o. 17:15 W 1-0, Saha
15 September 2007 Everton A KO12:00 BST W 1-0, Vidic 83'
19 September2007 Sporting Lisbon A KO19:45BST W 1-0, Ronaldo 62'
23 September2007 Chelsea H KO1600BST W 2-0, Tevez 45', Saha 89'
26 September2007 Carling (League) Cup Coventry City H KO20:00BST L 0-2
29 September2007 Birmingham A KO17:15BST W 1-0 Ronaldo 51'

October 2007
02 Oct UEFA Champions League United Vs Roma H KO19:45BST W 1-0, Rooney 51' (itv 1)
06 Oct Prem Vs Wigan 12:45 H W 4-0, Tevez 54' Ronaldo 59'&76', Rooney 82'
20 Oct Prem Vs A Villa 17:15 A W 4-1, Rooney (36, 44), Ferdinand (45), Giggs (75)
23 Oct UEFA Champ Lg Vs Dynamo Kiev 19:45 A W 4-2 Ferdinand,Rooney, Ronaldo(2)
27 Oct Prem League United Vs Middlsbro 15:00 H W 4-1 Nani, Rooney, Tevez (2)

November 2007
03 Nov Vs Arsenal A KO12:45BST A D 2-2 Gallas (OG) 45', Ronaldo 84'
07 Nov UEFA Champ Lg Dynamo Kiev 19:45 H W Pique 31', Tevez 37', Rooney 76', Ronaldo 88'
11 Nov Barclays Prem Vs Blackburn 15:00 H W 2-0 Ronaldo 34', 35'
24 Nov Barclays Premier League United Vs Bolton 15:00 A L 0-1
27 Nov UEFA Champions League United Vs Sporting Lisbon 19:45 H W 2-1 Tevez, Ronaldo


December 2007
03 Dec Barclays Premier League United Vs Fulham 20:00 H W 2-0 Ronaldo (twice)
08 Dec Prem Lg United Vs Derby County 15:00 H W 4-1 Giggs, Tevez(2), Ronaldo(p)
12 Dec UEFA Champions League United Vs Roma 19:45 A Draw 1-1 Pique
16 Dec Barclays Premier League United Vs Liverpool 13:30 A W 1-0 Tevez
23 Dec Premier League United Vs Everton 12:00 H W 2-1 Ronaldo, Ronaldo(p)
26 Dec Prem Lg Vs Sunderland 15:00 A W 4-0 Rooney, Saha, Saha(p), Ronaldo
29 Dec Barclays Premier League United Vs West Ham 15:00 A L 1-2, Ronaldo

January 2008
01 Jan Barclays Premier League United Vs Birmingham 15:00 H W 1-0 Tevez
05 Jan FA Cup United Vs Aston Villa 17:15 A W 2-0 Ronaldo, Rooney
12 Jan Prem/Lg Utd V Newcastle 17:15 H W 6-0 Ronaldo(3), Tevez(2), Ferdinand
19 Jan Barclays Premier League United Vs Reading 15:00 A W 2-0, Rooney, Ronaldo
27 Jan FA Cup United Vs Tottenham 14:00 H W 3-1 Tevez, Ronaldo(p), Ronaldo
30 Jan Barclays Premier League United Vs Portsmouth 20:00 H W 2-0, Ronaldo (2)
February 2008
02 Feb Barclays Premier League United Vs Tottenham 15:00 A D 1-1, Tevez
10 Feb Barclays Premier League United Vs Man City 13:30 H L 1-2, Carrick
16 Feb FA Cup United Vs Arsenal 17:15 H W 4-0, Rooney, Fletcher(2), Nani
20 Feb UEFA Champions League United Vs Olympique Lyonnais 19:45 A D 1-1, Tevez
23 Feb Prem/League Utd Vs Newcastle 17:15 A W 5-1, Rooney(2), Ronaldo(2), Saha
March 2008
01 Mar Prem Lg Utd Vs Fulham 15:00 A W 3-0, Hargreaves, Park, Davies(o.g.)
04 Mar UEFA Champ. League United Vs O. Lyonnais 19:45 H W 1-0, Ronaldo
08 Mar FA Cup United Vs Portsmouth 12:45 H L 0-1
15 Mar B/clays Prem League United Vs Derby County 15:00 A W 1-0, Ronaldo
19 Mar Barclays Prem L/g United Vs Bolton 20:00 H W 2-0, Ronaldo(2)
23 Mar Premier League United Vs Liverpool 13:30 H W 3-0 Brown, Ronaldo, Nani
29 Mar Prem Leag United Vs Aston Villa 17:15 H W 4-0 Ronaldo, Tevez, Rooney(2)

April 2008
01 Apr UEFA Champions League United Vs Roma 19:45 A W 2 - 0 Ronaldo, Rooney
06 Apr Barclays Prem League United Vs Middlsbro 13:30 A D 2-2 Ronaldo, Rooney
09 Apr UEFA Champions League United Vs Roma 19:45 H W 1-0 Tevez
13 Apr Premier League United Vs Arsenal 16:00 H W 2-1 Ronaldo, Hargreaves
19 Apr Barclays Premier League United Vs Blackburn 17:15 A D 1-1 Tevez
23 Apr UEFA Champions League United Vs Barcelona 19:45 A D 0-0
26 Apr Barclays Premier League United Vs Chelsea 12:45 A L 1-2 Rooney
29 Apr UEFA Champions League United Vs Barcelona 19:45 H W 1-0 Scholes

May 2008
03 May Prem/League United Vs West Ham 12:45 H W 4-1 Ronaldo(2), Tevez, Carrick
11 May Barclays Premier League United Vs Wigan 15:00 A W 2-0 Ronaldo(p), Giggs
21 May UEFA Champions League Possible UEFA Champions League Final 19:45 N* D 1-1 Ronaldo
(Man United win on Penalties 6-5 Tevez, Carrick, Hargreaves, Nani, Anderson, Giggs on target; Ronaldo missed a 3rd penalty. 4-4 after 5pens, Terry missed for Chelsea in the 1st 5pens and Anelka missed the other one -a save from van der Sar!)

N*-Neutral venue (Moscow)
......................................

MAN UTD GOALS: As on Wed. 21/05/2008, 22:30BST.
Saha-Prem:1+1+2+1=5
Paul Scholes:Prem:1 Champ Lg:1 =2
Luís Carlos Almeida da Cunha "Nani"-Prem:1+1+1 FA Cup:1 Champ Lg: =4
Vidic-Prem:1+1 =2
Ronaldo-Prem:1+2+1+2+2+1+3+1+3+1+2+2+1+2+1+1+1+1+2+1 FA Cup:1+2 Champ Lg:1+2+1+1+1+1 =41
Tevez-Prem:1+1+2+2+1+1+2+1+1+1+1 FA Cup:1 Cham Lg:1+1+1+1 =19
Rooney-Prem:1+2+1+1+1+2+2+1+1 FA Cup:1+1 Champ Lg:1+1+1+1 =18
Giggs-Pre:1+1+1 Champ Lge: =3
Ferdinand:Prem:1+1 Champ Lg:1+ =3
Gerard Pique- Prem: Champ Lg:1+1 =2
Michael Carrick: Prem:2 FA Cup:0 Champ/Lg:0 =2
Darren Fletche: Prem: FA Cup:2 =2
Owen Hargreaves: Prem:1+1 FA Cup: Champ/Lg: =2
Park Ji Sung: Prem:1 FA Cup: Cham/Lg: =1
Wes Brown:Prem:1+ Champ L/g: =1
...................................
own goals for Man Utd
03/11/2007 Away, W Gallas (Arsenal),(1) results:Draw, 2-2
01/3/2008 Away, Davies (Fulham),(1) results:Win, 0-3

MAKABRASHA YANGU/ MITHALI (2)

1. 'money is spent; experience is kept.
there is no substitute for experience'
03/01/2008

2. 'money can buy a house and woman;
but not a home & wife'
24/01/2008 Thu

3. 'God grant me the
SERENITY
to accept the things I can not change
COURAGE
to change things I can, and
WISDOM
to know the difference'
12/02/2008

4. 'Politics may be the art of the possibles, but at least in life give the impossible a go'
-Tony Blair, former PM on 10/5/2007
.............................................


'kindnesses, like grain, increase by sowing'
.............................................

'in life, the best gift you can give
(to) your enemy, is forgiveness'
..............................................

'God does not use untested material
without a test that is not testmony'
-mzwakhe mbuli
...............................................

'politics may be the art of the possibles,
but at least in life give the impossible a go'
-tony blair, 10/05/2007
.............................................

'kindnesses, like grain, increase by sowing'
04/3/2008
............................................

A: Do you know by the way that 'sugar' is the only word in English with an 's' and 'u' and yet it sounds like 's', 'h', 'u'?
B: Are you 'sure'?
08/3/2008
...............................................

'respect other people
and they will respect you'
........................................
' "bee" it so ever humble
there is no place like home!'
.....................29/3/2008 Sat......

'kindnesses, like grain, increase by sowing'
.........................................

'it is better to tell the truth; if you don't
people will not believe what you say'
...............Thu 17/04/2008

Heri ya Mwaka Mpya 2008

Jamani ninawatakieni heri na mafanikio ktk mwaka huu mpya.
Mungu awabariki na mipango yenu yote mliyojiwekea!

Happy New Year!!!!

Hallow everyone,
I wish you all the best in 2008 and success in everything you've planned to do!